TAFAKURI YA MWALIMU

Kwa katuni hii;
Ninatamani tu kusema kama dhamira ni kukagua uhalali wa #Elimu ya wafanyakazi wa umma basi #Haki itendeke kwenye kada zote ili tuwe na uhakika dhamira ni kutenda #Haki sio vinginevyo.

Napendekeza dhamira hiyo hiyo ielekezwe kwa wafanyakazi wa sekta binafsi, kwasababu tukiwatimua serikalini watakimbilia sekta au makapuni binafsi, kimsingi kama kweli waliweza kughushi na kufanyakazi kwa muda hadi kukaribia kustaafu bila shaka huko kwenye sekta na mashirika binafsi kuna uozo.

Elimu Afrika

Tufuatilie kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika #SiasaIsiingilieTaaluma.

0 Comments