ZIARA YA MBUNGE CECILIA PARESSO

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha Mhe.Cecilia Daniel Paresso, leo amefanya ziara katika Shule ya Sekondari Baray katika Kata ya Baray wilayani Karatu.

Mhe.Mbunge katika ziara yake aliongea na wanafunzi wakike wa shule hiyo ya sekondari ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake alizopanga kufanya katika shule mbali mbali Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha.

0 Comments