Ni Tanzania hii hii kuna watoto walikaa kwenye darasa hili kule Mputa, Namtumbo, Ruvuma , wakijifunza somo la uraia. Ilihusu mgawanyo wa majukumu!
Ni kwenye darasa ambalo, kuna waliogawiwa majukumu ya kuhakikisha watoto hao wanakaa kwenye madarasa bora, na bado wameshindwa kutekeleza majukumu yao.
0 Comments