Jamii yapaswa kiwafuatilia kwa karibu vijana katika jamii, wengi wao wanajihusisha na tabia mbalimbali hasa za utovu wa nidhamu.
Wazazi wamejikita kupambana na fursa zakiuchumi nakuwaachia walimu kazi ya malezi.
Niwakati sasa wanajamii wote kushiriki kuwafuatilia na kuwaadhibu watovu wa nidhamu bila kujali ni mtoto wa nani.
©ElimuAfrika
0 Comments