JAMII ICHUKUE HATUA YA HARAKA SHULE YA MSINGI MITAMBO.

Hii ni Shule ya Msingi Mitambo iliyopo mkoani Mtwara. Ina vyumba vitatu vya madarasa, walimu Saba, Wanafunzi 434 na hakuna nyumba ya mwalimu hata moja.

Hayo ni miongoni mwa madarasa yanayotumika.

Picha by Karim Faida

0 Comments