ASANTE SANA KWA MAOMBI YAKO

Nipo na Mwinjilist Mamuya wa Usharika Wangu KKKT Olasiti, namshukuru sana kwa kuniombea na kunishauri niwe kiongozi atakae tenda Haki na kufanya Siasa Safi Olasiti

0 Comments