Tumeudhuria majonzi ya mwenzetu, Ila kumbukumbu Muhimu SBC...inaendelea
SBC....... inaendelea Wavulana hawa niliwafundisha kwa miaka miwili na kwenye mtihani wao wa kidato cha nne wamepata daraja la Kwanza (Division One) Kulia ni Harun Sebastian na Wamwisho kushoto ni Boniface Kaaya. Pamoja sana vijana wangu
0 Comments