Kamanda James na Janeth hakika walipendeza |
Mwimbaji Solomon Mkubwa alitumbuiza kumuunga mkono Milya |
Sikosekanagi kwenye vitu vizuri |
Mh Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akilishwa keki ya Heshima |
Mr and Mrs Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini |
Mh. Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa nae alimuunga mkono kijana Milya |
Unapambania Kata ya Olasiti? ... Pambana na Utashinda. |
Brother Elipokea Urio na James Milya (Classmate) |
Christina Shusho nae alipagawisha wageni waalikwa kwa nyimbo za Injili |
Mh. Freeman Mbowe wakiteta na Mh Bananga kabla ya Cheers |
Mh. Joshua Nassari nae alimuunga Mkono Milya |
0 Comments