Gari la marehemu kwa nyuma
Marehemu Katoto enzi za uhai wake.
NA DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO
MUDA
huu mtandao huu umefanikiwa kuzungumza na mdogo wa marehemu Bw Hashimu
Ponda ambaye amezungumzia kifo cha kaka yake kwa kuseme.
"Kaka
baada ya kutoka nyumbani kwa mama akiwa njia kuelekea nyumbani kwake
Kihonda alipata ajari eneo la kona ya Polster Klabu kihonda maghorofani
chaajbu baada ya gari lake kupindukan liliangukia kwenye matofari na
baadae kwenye kifusi cha mchanga ambacho kilimrifti kaka hadi juu ya
Canter iliyosimama na kufika hoko kaka alichomoka kupitia kioo cha mbele
hadi juu ya nyaya za umeme na kuangua kicha akiwa tayari
alishakufa"alisema Hashim ambaye pia ni dereva wa kiwanda cha nguo cha
Polyester.
|
Eneo la Msiba muuda huu
Gari la marehemu likifunikwa baada ya ajali jana usiku
Canter ambayo gari la marehemu liliigonga
Gari la marehemu GX 100 baada ya ajali
0 Comments