SHIDA KUBWA KWETU NI UMEME... ARUSHA MODERN SCHOOL

Principal wa Arusha Modernakitoa Hotuba kwenye Mahafali ya FI C- Cambridge Curriculum, tatizo kubwa kwenye shule yao ni Umeme wanatumia Jenereta linalowagarimu sana. Tanesko tafadhali wawezesheni watanzania kupata elimu kwa gharama nafuu 

Graduand-Wahitumu

Waalikwa

Wanafunzi

Umeonaeeee

Wanafunzi na Wazazi siku ya Mahafali

0 Comments