TENDO LA NDOA NI "DAWA" KWA WANANDOA

Bi Lindoya, Dada huyu wa Tabata amefikishwa kituo cha polisi Tabata na mpenziwe kwa kuharibu vitu vya ndani kama unavyoona picha, baada ya kuhojiwa alisema amefanya kosa hilo kwasababu amenyimwa Mapenzi (Tendo la Ndoa) na mwenzie kwa muda sasa, jambo hili limemsababisha kuwehua.... Mmmmh Kumbe tendo la Ndoa ni "Dawa" ila hairuhusiwi kufanya kabla ya ndoa.

0 Comments