Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata
ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto
wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha.
Mashuhuda wanahisi kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani
abiria wakitafuta vitu vyao Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao…
Basi
la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali
usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa
miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha.
Mashuhuda wanahisi kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani
abiria wakitafuta vitu vyaoAbiria wakiendelea kutafuta vitu vyaoBaadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiriBasi la Amani likiwa limepinduka
0 Comments