LIGI YA CHADEMA - ARUMERU MAGHARIBI

Ni baada ya safari ndefu iliyochukua takribani miaka mitatu, kukamilisha ligi ya chadema katika kata mbali mbali jimbo la Arumeru magharibi. Hapa ni kata ya Oldonyosambu siku ya jumapili, tunategemea kuanza ligi ya jimbo hivi punde itakayoshirikisha kata zote karibuni wadau.

0 Comments