Meneja
Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni akiwafafanulia
jambo baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoka Kitivo
cha Sayansi ya Kompyuta kuhusiana na shindano la AppStar linaloendeshwa
na kampuni hiyo linalowalenga wataalam wa kutengeneza mobile
applications na kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslim na
safari ya kwenda nchini India kushiriki katika shindano hilo ngazi ya
kimataifa.
Mwanafunzi
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wa Kitivo cha Sayansi ya Kompyuta,John
Marolera akimuuliza swali Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom
Tanzania,Abigail Ambweni kuhusiana na shindano la AppStar
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania linalowalenga wataalam wa kutengeneza
mobile applications na kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa
taslim na safari ya kwenda nchini India kushiriki katika shindano hilo
ngazi ya kimataifa. Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wa Kitivo cha Sayansi ya
Kompyuta,wakielekea katika sehemu maalum ya kupatiwa maelezo ya jinsi ya
kushiriki katika shindano la AppStar linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania linalohusiana na wataalam wa kutengeneza mobile applications
kushiriki katika shindano hilo na kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo
pesa taslim na safari ya kwenda nchini India kushiriki katika shindano
hilo ngazi ya kimataifa.
0 Comments