Katika hali isiyoyakawaida WAALIMU wote nchini wamelazishwa kutoa fedha za kujenga Maabara, kwa masikitiko waalimu wengi wamelipa sh elfu 10 ya mchango wa lazima wa kujenga maabara kila Shule ya Sekondari ili hali wana madia mbalimbali ambayo mwajiri ajajibu mfano fedha za likizo, uamisho. Bado waalimu hawana Nyumba za kuishi,Usafiri shida, mazingira ya kazi magumu n.k...... "Wabunge Wamechangia Sh Ngapi? |
0 Comments