MH MBUNGE JOYCE MUKYA ATOA MSAADA ARUSHA

Mh Joyce Mukya Mbunge wa Viti Maalum Arusha (Chadema) atoa msaada wa maturubahi ya kuzuia mvua na jua kwa wakina mama wajasiriamali Soko la Mbauda, walionufaika ni wauza Mbogamboga, matunda na Mkaa
 Mh Ally Bananga Diwani wa Sombetini na Mh Mbunge wakikabidhi maturubahi kwa wakinamama soko la mbauda
 Sikosekanagi kwenye mambo Mazuri, Hongera Brother Ally Bananga kwa Jitihada za kumkomboa Mwanamke.
Wamama wauza Mkaa katika Soko la Mbauda wakipokea Msaada toka kwa Mh Mbunge na Diwani wao

0 Comments