TakribanI watu 170 wanaripotiwa kuaga dunia kwenye mafuriko ambayo
yameikumba Malawi kwa karibu mwezi mmoja sasa.Watu wengine 100,000
wamelazimika kuhama makwao. Mapema wiki hii rais Peter Mutharika alitangaza thuluthi moja ya nchi
hiyo kuwa katika hali ya hatari na kuomba msaada wa kimataifa.Zaidi ya
watu wengine 50,000 wamehama makwao katika nchi jirani ya Msumbuji
kutokana na mafuriko hayo.
0 Comments