Hiace Arusha Mjini zimegomea Ruti mpya, imesababisha hadha kubwa kwa wananchi hasa wafanyabiashara, wafanyakazi na wanafunzi.
Jambo hili ni janga kwa usalama wa wananchi kwani wananchi wameamua kutumia Pikipiki ya miguu mi wili na mitatu na gari dogo la mizingo maarufu kwa jina la Kirikuu, Sumatra tatueni tatizo hili

0 Comments