POLENI SANA, MSILIPIZE KISASI - MH LEMA

 Mh Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akiwa kanisani kwenye Msiba wa Kijana wa Olasiti.
 Tuliomsindikiza Mh Mbunge ni Mwkt Bavicha Mkoa, Diwani kata ya Themi, na mimi Diwani Mtarajiwa wa Olasiti 2015
Waombolezaji
 Umoja wa Waendesha Bodaboda
 Vijana wa Rika la Marehemu wakibeba Jeneza
 Waombolezaji

0 Comments