WIZARA YAANZA UTEKELEZAJI WA SERA YA ELIMU 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome akiwasilisha mada kuu kuhusu Sera ya Elimu 2014 mbele ya wadau na wafanyakazi wa wizara.
Wadau toka wizara ya Mambo ya Nje
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wakimataifa wakisikiliza kwa makini.

0 Comments