Mbunge wa Ubungo (Chadema) akichangia mada bungeni.
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameamua kulihairisha bunge hadi hapo
baadaye baada ya vurugu kuibuka kwa baadhi ya wabunge wakitaka hoja ya
kuhairisha mchakato wa kura ya maoni ijadiliwe na kura ya maoni isogezwe
mbele maana muda hautoshi.
Spika wa Bunge, Anne Makinda.
Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika alisimama na kusema:
"Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge
zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima,…
Mbunge wa Ubungo (Chadema) akichangia mada bungeni.
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameamua kulihairisha bunge hadi hapo
baadaye baada ya vurugu kuibuka kwa baadhi ya wabunge wakitaka hoja ya
kuhairisha mchakato wa kura ya maoni ijadiliwe na kura ya maoni isogezwe
mbele maana muda hautoshi.
Spika wa Bunge, Anne Makinda.
Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika alisimama na kusema:
"Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge
zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka
sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njombe, jambo hili
ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu
tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu"
Spika Makinda alijibu: Hoja hii inafanana na ile ya kwanza, nimesema
majibu mtajibiwa baadae ndipo wabunge waliposimama na kupiga kelele
wakitaka majibu na Spika Anne Makinda akalazimika kusitisha bunge hilo
kwa muda.
0 Comments