KABLA YA MICHEZO- MJIANDIKISHE, VIJANA NDIO TURUFU YA USHINDI 2015- MH JENIPHER MWASHA (KATIBU BAVICHA MKOA WA ARUSHA)

MH Jenipher Mwasha akiwaeleza na kuwakumbushar Vijana na wananchi wote wa Jimbo la Arumeru Magharibi kujiandikisha kwa wingi kwani huo ndio utakuwa Ushindi Wetu

a
Mh Mwasha akikabidi Vifaa vya Mischezo katika Uamasishaji wa Vijana Kujiandikisha Kupiga Kura

0 Comments