ELIMU KWA WAALIMU WENZANGU

"Kwa mujibu wa sheria ya fedha ya serikali za mitaa fungu au bajeti reallocation hufanywa na kamati ya fedha tena baada ya  miezi sita baada ya  serikali kupitoshwa na Bunge"

Bajeti ya  2016/17 ya Serikali na ya Jiji la Arusha imepitishwa Julai 1, ninauhakika bado takwa la kisheria la miezi sita haijafika, ninajua sekta ya elimu imekuwa ya kujaribia mara kadhaa, tuelimishane sisi kwa sisi ili siku moja taifa lithamini kwa vitendo taaluma ya Ualimu na Elimu kwa ujumla.

0 Comments