MUSWADA WA HABARI KUWASILISHWA BUNGENI KIBABE

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba alisema jana kuwa  hata alipoongeza muda wa siku tisa, hakuna mdau aliyefika mbele ya kamati yake isipokuwa  Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS).

Kwa ufupi

Dodoma. Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016, utawasilishwa bungeni bila maoni ya wadau wakiwamo wanahabari ambao hoja yao ya kutaka kuongezwa muda wa kutosha imegonga mwamba.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba alisema jana kuwa  hata alipoongeza muda wa siku tisa, hakuna mdau aliyefika mbele ya kamati yake isipokuwa  Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS).

Licha ya wadau hao kutofika, Serukamba alisisitiza  nia ya kamati ni kusonga mbele badala ya kuendelea kupiga kelele na watu aliowaita wanania ya kuukwamisha.

Na mwananchi

0 Comments