POLISI WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE WA ARUSHA MJINI LEMA


Habari zilizonifikia hivi punde kwenye chumba cha habari kutokea Jijini Arusha zinatanabaisha kuwa Leo Jumapili 30/10/2016 Polisi wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa Lengo la kumkamata.

Hata hivyo hawakufanikiwa kumkamata kwa kuwa Mbunge hakuwepo nyumbani muda huo

0 Comments