MAAFA MAPYA MTWARA

Wakazi 234 wa Mtunguru mkoani Mtwara hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba 75 kubomoka na nyingine kuezuliwa paa kufuatia mvua  yenye upepo mkali kunyesha.

0 Comments