DAWATI LA KUSAIDIA WAHITIMU WA VYUO VIKUUU KUANZIA JAN 2017

 Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel, akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, tawi la Mbeya.

Ofisa anayehusika na wanafunzi wa nje kutoka Chuo Kikuu Cha Lovely, (LPU), Love Kumar akizungumza na wanafunzi wa Chuo kikuu cha Mzumbe, tawi la Mbeya.

Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambayo ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, imetangaza kuanzisha dawati maalum kwa ajili ya kuwasaidia wahitimu wa vyuo na vyuo vikuu nchini kuanzia tarehe 15, Januari, 2017. 

Hayo yalisemwa (tarehe 17 Desemba, 2016) na Mkurugenzi Mkuu wa GEL, Abdulmalik Mollel alipokuwa akizungumza na wanafunzi.

0 Comments