Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema amebaini uwepo wa vijana wenye uwezo mkubwa wa kufanya tafiti na wanaotambua umuhimu wa mafanikio katika elimu zao ila hawana mitaji na wanahitaji kusaidiwa kifedha na vitendea kazi. Kufuatia hali hiyo, amesema kuna ulazima wa kubadili mifumo ya elimu nchini ili iweze kumkomboa kijana wa Kitanzania anayehitimu Chuo Kikuu badala ya kumfanya mtumwa wa ajira. [ 91 more words ]
http://dar24.com/ridhiwani-aomba-waajiri-kutoa-nafasi-kwa-vijana-akemea-dhana-potofu/
0 Comments