WALIMU WASTAAFU WAPEWA ZAWADI NA CWT- MAKETE


 Walimu wastaafu wakiimba wimbo wa Solidarity Forever

 Mwenyekiti wa chama cha walimu (CWT) Wilaya ya Makete Thobias Kasambala akizungumza kwenye hafla hiyo

 

 Walimu wa staafu wakisikiliza jambo

 

 Afisa elimu sekondari wilaya ya Makete jacob Meena akiwaasa wastaafu hao

 Katibu wa CWT wilaya ya Makete Elizabeth Petro akisoma taarifa fupi

 Mgeni Rasmi afisa elimu Msingi wilaya ya Makete Anthony Mpiluka akitoa hotuba yake kwa wastaafu hao

 Mgeni rasmi akiendelea na hotuba yake

 

 

 Mgeni rasmi akikabidhi zawadi ya bati 20 kwa wastaafu hao

 

 

 

 Mwalimu Mstaafu akitoa neno la shukrani kwa CWT

Picha zote na Edwin Moshi, Makete

0 Comments