Mkoa wa Geita uliopo kaskazini magharibi mwa Tanzania ni moja ya mikoa ambayo wanafunzi wake hasa wale wa shule za msingi wamefanya vizuri katika mitihani ya mwaka jana ya kitaifa.
Katika kuhakikisha mafanikio hayo yanakuwa endelevu katika siku za usoni, halmashauri za mkoa huo zimeagizwa kuchonga vinyago kwa lengo la kuviweka katika meza za wakuu wa shule ambao shule zao zimefanya vibaya katika mitihani ya kitaifa.
Mwandishi wa bbc Aboubakar Famau hivi karibuni alikuwa mkoani Geita
0 Comments