Kongamano la Elimu Mkoa wa Mbeya litafanyika tar 5/4/201
Ni mjadala wa wazi na wadau wa Elimu Kujadili changamoto za Elimu na mikakati ya kukabiliana nazo.
Lengo ni kuongeza Ufaulu na kuboresha Elimu.
Kwani niwazi kuwa kushusha vyeo wakuu wa Shule siyo suluhisho, hivyo wadau wa Elimu wanaalikwa kuja kujadili kwa kina changamoto zilizopo na kuweka Mikakati ya kuboresha elimu na hatimaye Mkoa wa Mbeya uwe Mkoa wa Mfano ikiwemo kufaulisha wanafunzi kwa kiwango cha juu.
0 Comments