Kitabu kipya sasa kipo sokoni.....Kinauzwa Tsh 20,000
Ajira kama ajira ni kitu kizuri sana, lakini ukweli unabaki kuwa kwamba, kwa karne tuliyonayo hakuna tena ajira za kudumu.
Ajira nyingi ni za mikataba, hii ina maana kwamba kesho yako haijulikani. Unaweza ukalala na kazi na kesho yake ukaamuka huna kazi je umejiandaa vipi na hili? Vilevile katika historia za watu wanaoishi ndoto zao kubwa duniani, wengi hawajaweza kuzifikia na kuzishi ndoto zao kupitia njia moja ya kuingiza kipato.
Vilevile umri unavyo kwenda hukopesheki maana benki zina umri wa mwisho wa kukopesha na hofu ya kuthubutu huongezeka.
Mwajiri wako tayari ana ‘Plan B’maana hata yeye kufuatia changamoto nyingi haijui kesho yake. Je, wewe umejipanga vipi? Je unajua kwanini Mwajiri wako ana ‘Plan B’ na je unajua kwanini waajiriwa wengi hawaishi ndoto zao? Haya na mengine mengi utayapata ndani ya kitabu hiki cha ‘Be Employed With Plan B in Mind’ Hakikisha unajipatia nakala yako upate ujuzi utakaokusaidia kujipanga vizuri kimaisha. Nakutakia kupata maarifa kwema.
TUNA NAKALA CHACHE TU KAMA UTAHITAJI TUTAFUTE KUPITIA UKURASA WA FACEBOOK, PROFESSIONAL WOMEN EMPOWERMENT COMMUNITY.
0 Comments