SHULE YA MSINGI LERANG'WA

Shule ya Msingi Lerang'wa iko kata ya Olmolog tarafa ya Enduimet, wilaya ya Longido, ni moja kati ya shule kongwe kwa ukanda wa West Kilimanjaro, wamesoma wengi tena wenye mafanikio makubwa serikalini na sekta mbalimbali binafsi.

Niombe wote mliosomea hapa muanze initiative ya kusaidia kizazi cha leo kinachopata elimu hapo kupata kwa ubora zaidi yenu.

Go east or west, Home is the Best

0 Comments