TAMASHA LA KUTOA NI FURAHA

Tamasha la kutoa ni furaha linatarajiwa kufanyika tar25/3/2017, likisimamiwa na mwimbaji wa injili Christina Shusho linatarajia kukusanya fedha kwaajili ya kuwawezesha wanafunzi wasio na uwezo wa kununua sare za shule kununuliwa sare mpya.

0 Comments