WILAYA YA NYASA YAANZA OPERESHENI TOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI


Katika kuhakikisha mimba za utotoni na mashuleni zinatoweka katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Wilaya hiyo inakuja na mkakati wa kuanzisha club za mashuleni ambazo zitakuwa zinatoa elimu juu ya athali za ngono zembe,mimba za utotoni na mimba mashuleni.

Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya hiyo ISABELA CHILUMBA wakati akizungumza na Ruvuma tv katika mahojino maalumu.

0 Comments