WIKI HII

Nidhamu ya vijana wetu imeporomoka na tunakoelekea ni hatari zaidi, tizama picha kwa makini, umeona hilo janga la miadarati, tukomeshe kwa kuchukua hatua kwa wanajihusisha.

Usimvumilie wala kumpuuza anayejihusisha na miadarati.
©ElimuAfrika

0 Comments