Kwa nukuu hii;
Walimu tutaendelea kuwa na wakati mgumu sana nchi hii kuwafundisha wanafunzi wetu, ikifika mahali wanasiasa wanaamua kuanzisha aina za viwanda ili kutetea maslahi flani ni mbaya.
Tutawafundishaje wanafunzi kuhusu aina tajwa hapo juu? Ifike mahali kabla ya kutoa tamko lichambuliwe na kutathminiwa ili lisilete madhara kwenye sekta nyingine hasa #Elimu kwasababu ukimdanganya mwanafunzi ni kosa na dhambi isiyovumilika wala kusamehewa.
#SiasaIsiingilieTaaluma.
0 Comments