TUNATAMANI KISWAHILI KUWA LUGHA YA KIMATAIFA

Tunaunga mkono kukuza, kueneza na kuhimiza maendeleo ya KISWAHILI kwasababu ni jambo SAHIHI wakati MUAFAKA kabisa. Tunapendekeza uenezi huu wigo ulende Afrika nzima, nasi tupo bega kwa bega na wote wenye nia hii kwaajili ya Lugha yetu kuwa ya KIMATAIFA.
Elimu Afrika

0 Comments