WATUMISHI KUKAGULIWA UWEZO WA WELEDI BAADA YA VYETI FEKI


Waziri Elimu Prof Ndalichako amesema serikali italazimika kupitia elimu za watumishi wake kwani wengi wao licha ya kuwa na vyeti vizuri lakini kilichomo vichwani mwao ni duni sana ukilinganisha na vyeti aliyasema waziri akiwa Tbc. Kwa mfumo huu wa sasa kiukweli hakuna atakayebaki kazini.

 
Kama kweli waziri wa Elimu Prof. Ndalichako atayafanyia kazi haya ambayo ameyazungumza TBC mimi ninaimani kubwa sana watumishi wengi wataondoka kazini tena kwa idadi kubwa sana kupita hata wale wa vyeti feki, na hii inatokana na kuwa na elimu ambazo ni zakupachikwa kwani ukimchukua mtu afanye kazi kutokana na elimu yake kiukweli ulimwengu utavurugika kwani wengi wao hawana ujuzi kabisa

0 Comments