Kwa katuni hii;
Nimekumbua enzi nikisoma chini ya Wizara ya Elimu na Utamaduni, sioni tena #Ngoma mashuleni ni ajabu kabisa jamii za kiafrika zinadhani kwa kutukuza na kuiga #usakatajirumba wa ugaibuni ndio ustaarabu.
Ni wakati muafaka kurejesha #UtamaduninaSanaa mashuleni kwa kupitia Wizara ya Elimu ili kujenga watoto na vijana ambao watakuza,watheshimu na kuenzi vya Afrika kwa kizazi cha sasa na kijacho.
©Elimu Afrika
Tufuatilie kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika #SiasaIsiingilieTaaluma.
0 Comments