ZIARA YAKIMASOMO BUNGENI

Wageni wa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai ambao ni Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kongwa wakitembelea maeneo Mbalimbali ya Viwanja vya Bunge jana baada ya kuhudhuria Kikao cha 22 Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma.

0 Comments