UNESCO INTERNATIONAL DAY OF LITERACY

Kwenye Kipindi chetu hiki tupo na Dr Eliamani Laltaika ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha NELSON Mandela -Arusha. Hapa amekuja kama Mwanzilishi wa Arusha Readers Club (Klabu ya wasomaji wa vitabu Arusha) na mwakilishi wa klabu za wasomaji wa vitabu Tanzania, atatueleza kuhusu "UNESCO International  Day of Literacy" ( Siku Usomaji wa Vitabu Kimataifa).

Kwa Tanzania 2017 maadhimisho haya yatafanyika tar 8 -9/9/ 2017 katika shule ya Msingi ya Kilutheri ya Ilboru, Arusha. Shule hii ni moja kati ya shule kongwe za kihistoria zilizojengwa na Wajerumani wakati wa Ukoloni mwaka 1907.

Kwa pamoja Elimu Afrika na Arusha Readers Club, tumeandaa Maadhimisho haya ya "UNESCO International  Day of Literacy" ( Siku Usomaji wa Vitabu Kimataifa) inayosisitiza elimu na digitali.

"Jitahidi kujielimisha kwa kadri ya uwezo wako na kutumia elimu hiyo kwa faida ya wote"

Tufuatilie Elimu Afrika kupitia, Instagram, Facebook, Twitter na YouTube.

#SiasaIsiingilieTaaluma.

0 Comments