Kushoto aliyevalia koti jeusi ni Mgeni rasmi Mariam Kimoso
ambaye alimuakilisha mkurugenzi wa jiji la Arusha akimkabidhi mwalimu
aliyefanya vizuri hivi karibuni katika kinyang’anyiro cha kuwasaka walimu bora
lililoendeshwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la Foundation For Tomorrow
jijini Arusha,katikati ni diwani wa kata ya Themi jijini Arusha,Milance Kinabo, (CHADEMA).
Mkurugenzi wa shirika la
Foundation for Tomorrow Melissa Queyquep, akizungumza katika hafla hiyo ambapo alisema kuwa
lengo ni kuwawezesha walimu kupata mamlaka ambayo itawasaidia katika
ufundishaji wa wanafunzi bila ubaguzi wowote katika kufufua maendelea ya elimu.
Mgeni rasmi Mariam Kimoso
ambaye alimuakilisha mkurugenzi wa jiji la Arusha akizungumza katika hafla hiyo.
Mjumbe wa bodi wa shirika la Foundation for Donacian Lyaruu akizungumza katika hafla hiyo
Diwani wa kata ya Themi jijini Arusha,Milance Kinabo, (CHADEMA),akiteta jambo na Bi.Narja Roel
Mwalimu Pius Edward kutoka shule ya msingi Sing’isi akipokea
zawadi kwa mgeni rasmi.
0 Comments