AMRI KUU NAWAACHIENI PENDANENI....


Leo nipo na Wanafunzi wangu wa Kidato cha Kwanza Makumbusho Arusha

Nimejali wakinamama wanaouza Miogo na Ndizi rosti siku hii ya Wapendanao. Wapate kipato nao wakasheherekee vema na watoto wao.

0 Comments