ELIMU NI UTI WA MGONGO WA USTAWI WA TAIFA LOLOTE


Watanzania Tuachane na Uekezaji wa faida ya siku moja. Tuwawekezee watoto wetu.
Nawashukuru Wazazi wa Wanafunzi wa Shule yetu walikubali kuwalipia watoto hawa kujifunza kwa vitendo kwenye Makumbusho ya Arusha Natural History na Arusha Declaration. Tuwekeze kwenye taifa letu
Unaona........

0 Comments