Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde akisoma matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2013 Dar es Salaam jana.
KUANGALIA MATOKEO YA MITIHANI
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) uliofanyika Novemba 2013 yanapatikana katika tovuti ifuatayo: www.necta.go.tz
0 Comments