MLIPUKO ZANZIBAR TENA... NI UGAIDI MPYA?


Mkuu wa Wilaya wa Mjini Unguja Mh Abdi Mohamoud Mzee akiongea na kiongozi wa kanisa la Mkunazini Ndugu. Nuhu Salanya na Mahafisa wa JWTZ, walipotembelea eneo lilipotokea Mlipuko kujionea Athari na uharibifu uliotokana na mlipuko
Wataalamu wa milipuko wa JWTZ Wakitazama kwa umakini Eneo lililochimbika kutokana na Mlipuko huko Mkunazi Mjini Unguja, kwabahati nzuri.. Mlipuko huo haukusababisha Kifo wala Uharibifu wa majengo.


0 Comments