SHULE KUMI BORA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 ZA MKOA WA ARUSHA.



Hizi ni shule 10 bora zilizofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne 2013 katika jiji la Arusha.
bofya link iliyo chorwa mstari ,kwa kila shule na itakupeleka kwenye matokeo halisi ya shule hizo, ni mchangayiko wa shule za sekondari za wasichana na wavulana.

Pia shule ya Precious Blood ya Wasichana na ni moja kati ya shule kumi bora kitaifa na inatokea katika jiji letu la Arusha. Blogu ya Wazalendo 25 Blog inawapa Hongera sana kwa waalimu, wanafunzi na wafanyakazi wa shule hizo, endeleeni na moyo huo huo.

Pia kwa Chini unaweza kuangalia Muundo wa uwekaji wa Alama za ufaulu kutoka alama ya kwanza mpaka ya mwisho, yaani alama A - F , ili upime viwango vya ufaulu vya mwaka huu. ni mambo ya BIG RESULTS NOW

SHULE BORA ZA MKOA WA ARUSHA NI KAMA IFUATAVYO;










KWA MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE 2013 BOFYA HAPA CHINI.... (MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013)

Huu ndio Muundo wa uwekaji wa alama za ufaulu kutoka alama A-F.....

0 Comments