Rachel , Disciplined, Focused and Talented girl of Form Four see her paintings, ..... she is among in the Arts Club... Mult-Talented Team. The school is Proud of you Rachel |
Poziiiiiiiiii |
Tunashukuru Shule kuwaruhusu na kuwapatia usafiri Form3 kwenda kumpa pole mmoja wao aliyefiwa. Pole sana Sara tupo pamoja |
Lisa na Maurine Samwel walitokelezea kwenye fashion ile mbaya..... Iko siku Vipaji hivi vitawapa Kipato, Umaarufu na Maisha mazuri.... Hongereni, |
Wamechora wao kwakutumia Karatasi na Rangi |
Elimu bora ni ile inayoruhusu Wanafunzi kubuni na kutumia vipaji vyao..... Prime School ndo penyewe |
0 Comments