| Nipo kwa pembeni na Dada Mbazi, Mwl wa Kiswahili... Kiswahili kimeongoza |
| Wengine na Chacha, Sola, Susan na Massawe |
| Mwalimu Mkuu Mr Nkya na Mbazi leo Kazini |
| Mtaaluma nae alijumuika nasi kama mwakilishi wa Uongozi, Hongera Kiongozi shujaa kwa matokeo mazuri |
| Bwana massawe kiongozi wa Msafara wa maakuli |
0 Comments